Misri walazimishwa suluhu na Mali

Timu ya taifa ya Mali jana imeilazimisha sare tasa Misri 'Pharao' 0-0 mchezo wa kundi D Mataifa ya Afrika inayoendelea huko Gabon.

Kwa matokeo hayo Ghana itakuwa kileleni kwa pointi zake 3 baada ya jana kutangulia kushinda 1-0 dhidi ya Uganda ambao ni wawakilishi wa Afrika mashariki

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI