YANGA WAMWONYESHEA MLANGO WA KUTOKEA MBUYU TWITE, LWANDAMINA AMRUDISHA

Na Ikram Khamees.

Uongozi wa mabingwa wa soka nchini Yanga SC wenyewe wamemtema beki kiraka Mbuyu Twite na wakitangaza kumuandalia mechi ya heshima ili kumstaafisha bila ridhaa yake.

Lakini kocha mkuu Mzambia George Lwandamina akasikia na kusema haiwezekani, Lwandamina anataka kuona uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja ili akiamua wa kumtema anamtema kwa haki.

Kwa maana beki huyo amerejea kwenye kikosi cha Yanga kuangaliwa upya na kama kocha huyo hatoridhika naye anaweza kumtema, Obrey Chirwa ndiye anatupiwa macho kutemwa kwavile Yanga ina washambuliaji wengi kuliko mabeki

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA