Straika huyu hatari anakuja Jangwani kumrithi Chirwa
Na Saida Salum
Maisha ya Mzambia Obrey Chirwa yako shakani katika klabu ya yanga kufuatia ujio wa mzambia mwenzake winston kalengo anayekipiga FC Leopards ya Congo Blazavile.
Kalengo ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa kuliko chirwa ambaye anatajwa kupelekwa kwa mkopo FC Platinum ya Zimbabwe.
Chirwa aliyesajiliwa kwa mamilioni ya shilingi ameshindwa kuisaidia Yanga licha ya kufunga magoli matano, Yanga hadi sasa inashika nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Simba