Southmpton yataka Pauni Milioni 40 kumwachia beki wake
Kazi bado ngumu katika mchakato wa kuinasa saini ya mlinzi mahiri Virgii Van Djik na Klabu yake imepanga mezani dau la Pauni Milioni 40 kwa timu yoyote ambayo inamwania staa huyo wa kimataifa wa Uholanzi.
Van Djik anafukuziwa na Liverpool, Chelsea na Manchester City huku pia timu yake ya Southmpton nayo ikitaka huduma yake kama kawaida