Juventus yamuwinda Kroos wa Real Madrid
Kule nchini Italia, Klabu ya Juventus ya Turin bado wanaendelea na mawindo yao ya kumnasa kiungo wa Real Madrid, Toni Kroos na wapo tayari kutoa hata Euro milioni 60 kwa ajili ya kiungo huyo Mjerumanj.
Na kama Real Madrjd itakataa kumuuza kiungo huyo kwa Juve, wataelekeza nguvu zao kwa Marco Verratti wa PSG au Ivan Rakitic wa Barcelona