Hamosnota kutambulisha wimbo wake Jumamosi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Hashim Momba Hamosnota amepanga kuutambulisha wimbo wake mpya wa Pole siku ya Jumamosi ijayo katika kituo kimoja cha redio.
Akizungumza na Mambo Uwanjani, amesema ameamua kuachia wimbo huo redioni ili kuwafikia mashabiki wake, msanii huyo amepanga pia kuutengenezea video wimbo huo