Arsenal yamwania Isco
Arsenal wamerudi tena vitani katika kumnyatia kiungo wa Real Madrid, Isco na wanataka kumnasa katika Dirisha la January.
Baada ya kubaini kuwa kiungo huyo hana raha Klabuni hapo msimu huu kutokana na kukosa nafasi ya kutosha katika kikosi cha kwanza