Nini kilichowaponza FC Barcelona?

Na Nasri Alfan

Champions league jana iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa Takriban Timu kubwa zote ziliweza kupata matokeo mazuri

Kasoro Fc barcelona walio poteza mbele ya Manchester City kwa goli 3  kwa 1
Magoli ya man city yali fungwa na
Gundogan aliye funga 2
Na lile moja liki fungwa na
D. Bruyner
Huku goli barcelona liki fungwa na  Leonal Messi

Kuwa kosa badhi ya wachezaji kuliwa athir barcelona walimkosa beki wao G.pique na kiunga Ander Iniesta huku nafasi ya Pique ikizibwana Umtiti na ile ya Iniesta ikizibwa na Ander Gomez

Kuwa kosa wachezaji wa wili hawa kuna namna ambavyo ime wa Athiri moja kwa moja fc barcelona

Pia huwezi kuacha kuwa pongeza Manchester City ambao waliweza kucheza kandanda safii hasa kipindi Cha pili
Ubora wa mchezaji mjomoja pia uli chagiza City kupata matokeo

K.D Bruyner nimoja ya wachezaji walio weza kuonesha uwezo mkubwa kipindi cha 2 na kuwa mwiba mkali kwa upande wa fc barcelona
Namna alivo weza kutumia vyema mpira wa adhabu na kuweza kufunga

Yote kwa yote lakini bado Fc barcelona wapo kileleni kwenye kundi hilo wakiwa na pwenti 9 wakifatiwa na man city wakiwa na pwenti 7 huku wanao shika mkia katika Group hilo ni Celtic akiwa na pwenti 2

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA