Mzamiru Yassin awa mchezaji bora Simba
Na Shabani Hussein, Dar es Salaam
Kiungo mshambuliaji Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Klabu ya Simba baada ya kuonyesha ufanisi mkubwa mwezi Oktoba.
Mzamiru ameshinda tuzo hiyo na atakabidhiwa zawadi yake ya uchezaji bora ambapo Wekundu hao wa Msimbazo watamkabidhi shilingi Lako tano.