Man United ilipoikosakosa Arsenal jana
Mpambano mkali na wa kusisimua kati ya Manchester United na Arsenal uliopigwa katika dimba la Old Trafford jijini Manchester.
Timu hizo zilifungana 1-1 Man U wanaonolewa na Jose Mourinho wakitangulia kupata bao la kuongoza lililofungwa na Huan Matta kabla ya Arsenal kuchomoa kupitia kwa Okivier Giroud