Lwandamina ambakiza Mwambusi Yanga, Akana kuwaleta nyota wa Zesco Jangwani

Na Enika Samson, Dar es Salaam

Kocha mpya wa Yanga SC  Mzambia George Lwandamina ambaye leo ametambulishwa na uongozi wa Klabu hiyo amesema atafanya kazi na benchi la ufundi alilolikuta.

Ina maana kocha huyo wa zamani wa Zesco United ataendelea kufanya kazi na Juma Mwambusi ambaye ni kocha msaidizi wa Yanga aliyefanya kazi na aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm ambaye leo hii ametambulishwa kama Mkurugenzi wa Ufundi wa timu hiyo.

Lwandamina pia amekanusha uvumi ulioenezwa na mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vya habari kwamba aliwapendekeza nyota wawili wa Zesco United, Jesse Were raia wa Kenya na Meshark Chaila

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA