Genge la RNE lapata mkataba mnono wa kutangaza Condom
Na Ismail Mhina, Tanga
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililopo Hale jijini Tanga, liko mbioni kuingia mkataba na moja kati ya makampuni makubwa ya kusambaza Condom hapa nchini.
Mmoja wa mamemba wa kundi hilo linalotamba kwa sasa katika miondoko ya Hip Hop jijini Tanga, amesema wako mbioni kusaini mkataba huo mnono nankampuni hiyo ya kusambaza Condom.
Kundi hilo linaloindwa na wasanii sita, wakiwemo Jusa, Amour JJ, Dizonga, Jimmy Msauzi, Boss Rapa, Agga Swing na Mkola Man