Stand United yaituliza Yanga Kambarage

Na Salum Fikiri Jr, Shinyanga

Stand United ya Shinyanga jioni ya leo imeibuka na ushindi mbele ya mashabiki wake dhidi ya Yanga SC katika uwanja wa CCM Kambarage kwa bao 1-0 mchezo wa Ligi kuu bara.

Kama si bahati Yanga leo wangeweza kubugizwa mabao matatu kwani kikosi cha Stand kimecheza vizuri na kulitia msukomsuko lango la Yanga.

Yanga imefungwa bao hilo katika kipindi cha pili baada ya kazi nzuri ya Kevin Sabato, Yanga ililala mbele ya 'Maproo' wake Donald Ngoma raia wa Zimbabwe na Amissi Tambwe wa Burundi huku pia ikiwa na mastaa wake wengine

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA