JERRY MURO AIKINGIA KIFUA TFF

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM

MKUU wa kitengo cha habari na mawasiliano wa Yanga SC Jerry Cornely Murro amelikingia kifua Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF ambalo leo limemwandikia barua afike shaurini Jumamosi ijayo.

TFF imemwandikia barua msemaji huyo wa Yanga kwamba ahudhurie ofisi za Shirikisho hilo Uwanja wa Karume Dar es Salaam kujibu tuhuma zinazomkabili  Murro anadaiwa kutoa maneno ya kejeli kwa Shirikisho hilo.

Lakini barua aliyotumiwa Murro haionyeshi kama anaitwa na kamati gani ya TFF zaidi ya kusema anaitwa na kamati, Naye Murro amesema hakubaliani na barua hiyo na yupo tayari kupambana na yeyote mwenye kutaka kumchafua yeye na Yanga

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA