YANGA YAPANGWA KUNDI MCHEKEA KOMBE LA SHIRIKISHO
YANGA SC ya Tanzania leo imepangwa kwenye makundi kombe la Shirikisho barani Afrika ikionekana imewekwa kwenye kundi jepesi ama mchekea kwa lugha nyingine.
Shirikisho la mpira wa miguu brani Afrika CAF limeipanga Yanga ns timu za Mo Bejala, TP Mazembe na Medeana, kwa kundi hilo ni dhahili Yanga itakuwa na timu mchekea kwani hata TP Mazembe ya sasa si ile iliyopita.
RATIBA YA KUNDI A || MECHI ZA YANGA
- MO Bejaia vs Young Africans (17 June 2016)
- Young Africans vs TP Mazembe (28 June 2016)
- Young Africans vs Madeama (15 July 2016)
- Madeama vs Young Africans (26 July 2016)
- Young Africans vs MO Bejaia (12 August 2016)
- TP Mazembe vs Young Africans (23 August 2016)
Taarifa kutoka Website ya CAF - Afrika