MISRI YAHUSISHWA KUJITOA KWA CHAD AFCON

Na Mwandishi Wetu

Misri jana imeifunga Nigeria bao 1-0 na moja kwa moja kujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu fainali zijazo za mataifa Afrika zitakazofanyika Gabon, Misri inahitaji pointi moja tu ili wafuzu.

Ishu iko hivi, Chad kama ingeendelea kushiriki mashindano hayo uhakika wa Misri kufuzu usingewezekanika kirahisi, lakini kuna taarifa Mapharao hao wameilazimisha Chad ijitoe ili wao wapate mgongo wa kufuzu.

Kwani ukiondoa Misri, timu nyingine yenye matumaini ya kufuzu ni Tanzania ambayo ina pointi moja tu, lakini kama itazifunga Misri na Nigeria ndio itaweza kufuzu ila ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI