PICHA YA MANJI NA MANARA YAZUA UTATA MTANDAONI
Na Prince Hoza
Picha inayowaonyesha msemaji wa klabu ya Simba Hajji Sunday Manara na mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Mehbood Manji inazidi kuwaacha hoi wapenzi wa soka nchini,
Picha hiyo ilianza kuenea katika mitandao ya kijamii na sasa imekuwa gumzo kila kulicha.
Vigogo hao wanatola timu mahasimu na zimekuwa zikichukiana lakini wameonyesha kwamba nje ya soka ni marafiki