WASANII KILI MUSIC TOUR WAENDA KUMFARIJI AFANDE SELE MORO

BAADHI  ya picha zikionesha wasanii waliofanya Tamasha la Kili Music Music Tour Dodoma wakiwa nyumbani kwa Afande Sele katika kumpa pole ya kuondokewa na aliyekuwa mkewe marehemu Asha au mama Tunda kama anavyofahamika.

Wasanii hao baada ya kjukamua katika tamasha la Kill waliamua kumtembelea msanii mwenzao aliyepata kuchukua ufalme wa muziki nchini.

Afande Sele yuko katika majonzi mazito kufuatia msiba huo hivyo ni vema wasanii wenzake wakachukua fulsa hiyo kwenda kumfariji, Tunawapongeza wasanii hao kwa kumuonamzwenzao na kumpa pole.







Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI