SPIDER- SIJAACHA MUZIKI
Mwanamuziki tokea kitambo aliyekuwa akiunda kundi la Mambo Poa Rashid Mustapha 'Spider' (Pichani) ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa Chuchu Fm Zanzibar amesema ajaacha muziki licha ya kubanwa na kazi.
Akizungumza na Mwanasoka, Spider aliyekuja jijini katika msiba wa dada yake amesema muziki huko kwenye damu yake na kamwe awezi kuacha, 'Mimi na muziki ni sawa na uji namgonjwa siwezi kuacha licha ya kubanwa na kazi', aliongeza.
'Ipo siku nitaachia wimbo mpya katika staili yangu ile ile ua mduara, Spider alitamba na wimbo wake 'Mimi sio mwizi' ambapo alikuwa sambamba na wanamuziki wenzake waliokuwa wanaunda kundi hilo ambao kwa sasa ni marehemu John Mjema na Steve 2K.