NINGEPENDA KUCHEZA FILAMU NA CHRIS TUCKER NA ROSE NDAUKA- FRANK MWIKONGI

Star mkubwa wa filamu nchini ambaye hana skendo za hovyo hovyo Frank Mohamed Mwikongi amesema kuwa ana ndoto ya kuja kufanya filamu na star wa Hollywood Chris Tucker kwa kuwa anamkubakli sana, na kwa upande wa hapa nchini anataka kufanya kazi na Rose Ndauka kwasababu anaukubali uwezo wake licha ya kuwa tayari wamefanya pamoja filamu ya Waiting Soul lakini yupo mbioni kucheza nae tena filamu mpya.


Akizungumza na Burudani Frank anayependwa na kinadada wengi alisema "Namkubali sana Chrisn Tucker ambaye ni rafiki mkubwa wa Jackie Chain ningependa kufanya nae kazi siku moja, hapa nyumbani ningependa kufanya kazi na Rose Ndauka, ingawa nimeshacheza nae filamu ya Waiting Soul ila kuna kazi tutafanya pamoja muda si mrefu"

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA