ARSENAL, BASIKTAS USO KWA USO LEO
Beki wa kushoto wa Arsenal,
Kieran Gibbs atakosa mechi zote za ligi ya mabingwa dhidi ya Besiktas
baada ya kuumia eneo la uvungu wa goti.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema anatamani kupambana na timu zilizo juu zaidi barani ulaya.
Siku ya jumanne Arsenal itacheza mechi ya kwanza dhidi ya Basiktas nchini Uturuki.
Arsenal iliidhidbiti klabu nyingine ya Uturuki Fenerbahce katika hatua ya makundi msimu uliopita.