WADAU WAMTEMBELEA KIMWAGA WA AZAM FC
WADAU wa soka na mashabiki wa Azam FC wamejitokeza kwa wingi kwenda kumpa hali mchezaji huyo aliye majeruhi kwa muda mrefu sasa.
Kimwaga aliyepandishwa katika kikosi cha wakubwa mwanzoni mwa mwaka jana na kocha aliyeacha kazi Mwingereza Stewart Hall amejikuta yuko kitandani kufuatia maumivu ya goti.
Mchezaji huyo amerejea jana kutokea nchini Afrika Kusini alikokuwa anafanyiwa matibabu, Frank Domayo naye yuko Afrika Kusini alikoenda kufanyiwa upasuaji.
Katibu Mkuu wa Klabu ya Azam Fc Nassoro Idrisa Pamoja na Wadau wa Azam Fc Juma na Musa walipomtembelea Joseph Kimwaga ambae amerejea Jana kutoka Afrika ya Kusini alipokwenda kupata matibabu ya goti