UWANJA WA SIMBA BUNJU KINAELEWEKA

MATENGENEZO ya uwanja mpya na wa kisasa wa klabu ya Simba kama ilivyoahidiwa na uongozi unaomaliza muda wake chini yake Alhaj Ismail Aden Rage umeanza kutengenezwa na muda si mrefu utakuwa tayari kwa wana hao wa Msimbazi ambao kwa sasa macho yao yapo kwenye uchaguzi ujao.

Tayari shughuri za ujenzi zinaendelea ambapo maroli yamekuwa yakimwaga vifusi katika eneo hilo la uwanja wa klabu ya Simba huku watani zao Yanga wakimuongezea mwaka mmoja mwenyekiti wao Yusuf Manji ili afanye usajili.


Rage alisema hivi karibuni kuwa ifikapo Juni 26 atakabidhi uwanja huo kwa Wana-Simba kitu kinachoonekana kuwa kweli, harakati za kukamilika kwa uwanja huo zinaonekana na sasa maendeo yanaridhisha.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA