PRESIDENT JAKAYA KIKWETE AKUTANA USO KWA USO NA DIAMOND NEW YORK

Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo kwenye safari za show zake huko Marekani.


Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York alikuta uso kwa uso na Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara zake za kikazi.

Kama kawa picha mbili tatu zilihusika na  Diamond ali-post  picha kwenye insta na kuandika,”The President of United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete and I…just few minutes ago in Manhattan, New York”.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA