HAPANA CHEZEA HII! BALOTELLI, ROONEY WALIVYOFANANA NA MASHABIKI WAO
Mtoto Balotelli (Pichani) NI maajabu ya mungu tu yameweza kutofautisha sura za watu na kufananisha pia, jamii ya watu wa China ndio pekee iliyofanana sura, lakini kwa uwezo mkubwa wa Mungu wanasoka mahiri duniani Mario Balotelli 'Super Mario' na Wayne Rooney wamefanana mno na mashabiki wao hasa watoto.
Mario Balotelli (Pichani) Mtandao huu umezungumza na wazazi wa watoto hao Allen ni mtoto aliyefanana na Mario Balotelli kiasi kwamba huwezi kuwatofautisha, mtoto huyo kwa sasa anafahamika kwa jina la Balotelli wa Tanzania, mbali na mtoto huyo kuna mwingine anaitwa Shafih.
Shafih anafanana sana na Wayne Rooney anayekipiga Manchester United, mwandishi wa Mtandao huu alifanikiwa kuzungumza na mama mzazi wa Balotelli aliyejitambulisha kwa jina moja la Beatrice, alisema kuwa mwanaye amefanana mno na Balotelli na amefikia kumpachika jina hilo.
Wayne Rooney (Pichani) Beatrice ambaye ni shabiki wa Chelsea lakini ameamua kumshabikia Balotelli na kila timu anayohamia na yeye huifuata, lakini Mama Shafih ambaye anaitwa Asha amedai yeye si shabiki wa soka na wala hataki kusikia habari za mpira.
Mtoto Shafih (Pichani) Na alipoambiwa mwanaye amefanana na Rooney na si baba yake alikunja uso, alidhani Rooney ni Mtanzania na huenda yangetokea malumbano na mumewe, lakini Rooney ni Mwingereza na anakipiga Man United