GHANA NDEMBENDEMBE KWA MAREKANI YA OBAMA, YADUNGULIWA 2-1

MAREKANI imeendeleza kilo kwa timu za Afrika, baada ya usiku wa kuamkia leo kuifunga Ghana mabao 2-1 katika mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia nchini Brazil.

Shukrani kwao, Clint Dempsey aliyefunga bao la kwanza sekunde ya 31 baada ya kuwachambua mabeki wa Ghana na John Brooks aliyefunga la pili kwa kichwa dakika ya 86.

Nyie waafrika nasikia mdebwedo tu

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Fulham, aliifungia timu ya Jurgen Klinsmann bao kla ushindi dkika nne tu tangu Andre Ayew aisawazishie Ghana.


Kikosi cha Ghana kilikuwa; Kwarasey, Opare, Mensah, Boye, Asamoah, Atsu/Adomah dk78, Rabiu/Essien dk71, Muntari, Andre Ayew, Jordan Ayew/Boateng dk59 na Gyan.

Marekani: Howard, Johnson, Cameron, Besler/Brooks dk46, Beasley, Bedoya/Zusi dk77, Jones, Bradley, Beckerman, Dempsey, Altidore/Johannsson dk23.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA