RECHO WA BONGO MOVIE HATUNAYE

Msanii wa bongo movie, Rachel Haule 'Racho' amefariki dunia usiku wa leo katika hospitali ya Muhimbili alipopelekwa kujifungua.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo inasema kuwa marehemu Recho alifariki baada ya kujifungua mtoto ambaye naye akafariki naye baada ya kukimbizwa I.C.U kutokana na hali yake kuwa mbaya sana.


Kifo cha msanii huyo sasa kilichotokea mwanzoni mwa wiki hii kinafanya sasa kuwa bongo movie imepoteza wasanii wake wawili mfululizo katika mwezi Mei.Adam Philipo Kuambiana naye aliaga dunia na kuzikwa siku chake kabla Recho naye kututoka, R.I.P .

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA