REAL MADRID YAJIONDOA VITA YA UBINGWA LA LIGA

MAKOSA mawili ya kizembe ya Sergio Ramos na Xabi Alonso yamevunja matumaini ya Real Madrid kutwaa mataji matatu msimu huu baada ya kufungwa 2-0 na Celta Vigo usiku huu.

Ili kuweka hai matumaini ya ubingwa wa Hispania, maarufu kama La Liga, Madrid walihitaji Barcelona na Atletico Madrid zipunguzwe kasi, lakini wao wameshindwa kutumia vyema furs yao.


Mabao mawili ya Charles dakika ya 33 na 44 Uwanja wa Balaidos, yameipa ushindi Celta Vigo na sasa Real kutwaa La Liga ni ndoto, kwani sasa wanabaki na pointi 84 za mechi 37, nyuma ya Barcelona yenye pointi 86 na Atletico Madrid 89, wote mechi 37 pia.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA