KILIMANJARO TOUR YAZINDULIWA

Meneja wa bia ya Kilimnajro, George Kavishe amesema ziara ya tour Kilimajaro itahusisha mikoa ya Kilimanjaro, Mwanza, Kigoma, Kahama, Iringa, Mbeya, Dodoma, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.


Ziara itazinduliwa rasmi mkoani Kilimanjaro Mei 24 katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi ambapo wasanii kadhaa waliofanikiwa kuchukua tuzo watapanda jukwaani kutumbuiza.

Kavishe amewataka wapenzi wa muziki katika mikoa hiyo kukaa mkao wa kula ili kuwasubiria baadhi ya wanamuziki wanaowapenda ambao watakuwemo katika msafara huo.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI