HII NDIO PICHA INAYOONYESHA JIJI LA DAR ES SALAAM TANGIA MWAKA 1887
Picha iliyopigwa mwaka 1887 imedhihirisha kuwa tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo tofauti na tulipotoka ambapo nyumba zetu zilikuwa za kutengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa nyasi ama makuti.
Angalia vizuri picha hii ya zamani kisha tazama hii nyinginhe ya sasa unaweza kugundua wapi tulipotoka na tunapoelekea sasa, Vijana mmetakiwa kujifunza historia ya taifa lenu miji na mitaa mnayoinsi sasa pia msipende kubeza maendeleo yanayofanywa na serikali yenu iliyopo madarakani