DIAMOND PLATINUM, OMMY DIMPOZ WATIMKIA UINGEREZA

Wanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya Ommy na mwenzake Diamond Platinum majuzi waliondoka jijini Amsterdam Uholanzi kuelekea London Uingereza.

Diamond amekwenda huko kutengeneza video ya wimbo wake mpya ambayo itafanywa na Director aliewahi kufanya kazi na wasanii kama Davido, Wizkid na FUSE ODG.


Hii ni mara nyingine kwa Diamond kufanya ziara nchini Uingereza, hivi karibuni Diamond alitunukiwa tuzo saba za KTMA na pia ni mshiriki wa tuzo za MAMA

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA