CHELSEA YAIBANA ATLETICO MADRID KWAO

CHELSEA imelazimisha sare ya bila kufungana na Atletico Madrid katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Vicente Calderon.

Maana yake, Chelsea itahitaji ushindi mwembamba katika mchezo wa marudiano Uwanja wa Stamford Bridge, London dhidi ya timu iliyoitoa Barcelona katika Robo Fainali ili kutinga Fainali.


Chelsea jana ilimpoteza kipa wake wa kwanza Petr Cech mapema dakika ya 17 baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Schwarzer aliyemalizia vizuri mchezo.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA