WACHEZAJI WA CHELSEA MATATANI ULAYA
Nyota huyo wa Hispania alikwenda kula chakula cha mchana katikati ya London akiwa na mchezaji mwenzake wa klabu hiyo na timu ya taifa, Fernando Torres wakati wanakutwa na kasheshe hilo kutoka na kupaki vibaya gari lao.
Suala hilo likatatuliwa mara moja na Mata akawa mwenye furaha sana kupozi kwa ajili ya kupiga picha na trafiki aliyemtia mikwara ambaye ndiye aliyevujisha picha hizo.