MKOLA MAN AJA NA KILEVI CHAKE........

Msanii mkongwe wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya nchini Christopher Mhenga aka Mkolaman mwenye maskani yake mkoani Tanga anaomba mashabiki wake wampokee tena kama walivyompokea mwanzo.


Akizungumza na Mambo Uwanjani Leo  Mkolaman amesema kuwa baada ya kutamba na nyimbo ya 'Mr Mapesa' ambayo ilimpa umaarufe Afrika mashariki na kati
sasa anakuja na nyimbo mpya iliyorekodiwa  na prodyuza Mosi wa K.O
Record, 'Nyimbo inaitwa Kilevi changu, naomba mashabiki wangu wategemee ujio waliokuwa wanausubiria kwa hamu.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI