JONAS MKUDE AAPA KUTOKA NA BAO JUMAPILI
Wakati homa ya mpambano wa watani wa jadi Yanga na Simba ukiwa unazidi kupamba moto, kiungo wa Simba Jonas Gerrard Mkude ameahidi na bao.
Akizungumza na mtandao huu, Mkude amesema lazime afunge katika mchezo huo ili kuwapa raha mashabiki wa Simba ambao wanazidi kumpa nguvu kwa sasa