ENGLAND YATINGA BRAZIL KWA KISHINDO

MABAO ya Wayne Rooney na Nahodha Steven Gerrard yameihakikishia England nafasi ya kucheza Kombe la Dunia usiku huu baada ya kuifunga Polnd 2-0 usiku huu kwenye Uwanja wa Wembley.


Kikosi cha Roy Hodgson leo kimewapa raha Waingereza kwa ushindi huo na sasa ni furaha nchi nzima England.

Mshambuliaji wa Manchester United, Rooney alianza kufunga dakika ya 41 na kiungo wa Liverpool,  Gerrard akafunga dakika ya 88.

Kikosi cha England kilikuwa: Hart, Smalling, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Carrick/Lampard dk71, Townsend/Milner dk86, Rooney, Welbeck na Sturridge/Wilshere dk82.

Poland: Szczesny, Wojtkowiak, Jedrzejczyk, Glik, Celeban, Blaszczykowski, Mierzejewski/Zielinski dk75, Krychowiak, Sobota/Pezsko dk65, M Lewandowski/Klich dk46 na R Lewandowski..

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI