NEYMAR: HATUIHOFII HISPANIA
NYOTA wa Brazil, Neymar anaamini Hispania inapewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Mabara katika Fainali itakayopigwa leo usiku, lakini amesema timu yake haiwahofii mabingwa hao wa Ulaya na Dunia.
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI TUPIGIE KWA SIMU NAMBA 0755-522216 AU NJOO OFISINI KWETU TABATA RELINI AMA WAWEZA KUTUTUMIA BARUA PEPE princehoza@gmail.com