Mwenyekiti wa Kijiji cha Mdaula Bwilingu, Chalinze wilayani Bagamoyo Shabani Hussein "Kipresha" naye alikuwa miongoni mwa washiriki wa mashindano ya riadha yaliyofahamika kwa Msoga Marathon. Msoga Marathon ilifunguliwa na Rais mstaafu Kikwete na kuudhuriwa na waheshimiwa wabunge, madiwani na watu mbalimbali (Pichani Kipresha akishiriki mbio hizo) picha na mtandao
Kwa habari na matangazo tunapatikana Kariakoo jijini Dar es Salaam au piga +255 652 626627 au +255 755 522 216 barua pepe princehoza@gmail.com