Klabu ya Pyramids ndio vinara wakiwa na alama 62 huku wakiwa wameshacheza Michezo 25
Al Ahly wakiwa nafasi ya pili wameshacheza michezo 18 wakiwa na alama 42 , nyuma kwa alama 20 huku wakiwa nyuma kwa michezo 7 dhidi ya Pyramids (sawa na alama 21+42=63) .
VITA YA UFUNGAJI
Fiston Mayele amefikisha magoli 11 msimu huu akiwa na klabu yake ya Pyramids akizidiwa goli moja na Hossam Ashraf wa Al Ahly mwenye magoli 12.