Mabingwa wa soka Tanzania bara Dar Young Africans maarufu Yanga SC usiku huu wamedhihirisha kwamba wao ni mabingwa wa nchi baada ya kuilalua Safari Lager mabao 4-1 na kutwaa ubingwa wa Safari Lager Cup.
Usikose kufuatilia ukurasa wetu wa Facebook wa Mambo Uwanjani ili kuona yanayojiri, pia Google kwa ajili ya blog yetu ya Mambo Uwanjani