Baada ya Makubaliano ya pande zote mbili baina ya Mlinzi Bakari Nondo Mwamnyeto na Waajiri wake Young Africans lilifuata dili la Mshambuliaji George Mpole,
Kumbuka: Wachezaji hawa wawili wanasimamiwa na Meneja Mmoja na wote walisaini siku moja kwa maana George Mpole kujiunga na Young Africans na Bakar Mwamnyeto kuongeza kandarasi ya kuendelea kuitumikia Young Africans.