Benchikha kutimkia JS Kabylie

Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na JS Kabylie  ya Algeria.

Msimu huu Kabylie imeshika nafasi ya 7 baada ya michezo 30 walikusanya jumla ya alama 42 wakifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 27.