Jonathan Sowah kuchukua nafasi ya Guede Yanga


Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Al-Nasr,Jonathan Sowah.

Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo mwezi january kwa mkataba wa miaka miwili.

Ila Yanga wameingilia kati na kunyakua saini yake