Nabi ahusishwa na Singida Black Stars

Kocha wa zamani wa Yanga SC na Far Rabat ya Morocco, Nassredine Nabi huenda akajiunga na klabu ya Singida Black Stars kwaajili ya kuinoa klabu hiyo kwenye michuano ya CAF Confederation Cup na NBCPL

Tetesi hizo zinakuja siku chache baDa ya kocha Nabi kuvunja mkataba na Raja Casablanca ya Morocco kwa makubaliano ya pande zote mbili

Kinachochelewesha dili hilo mpaka sasa ni masuala ya kifedha ambayo bado wapo kwenye mazungumzo ikiwa kama wataelewana basi tutegemee kumuona Nabi ndani ya NBCPL.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI