Ismail Mgunda mshambuliaji mzawa ataanza leo?

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steven Robert Barker leo akimuamini na kumpa dakika kiwanjani Ismail Mgunda aongoze mstari wa juu wa Msimbazi mbele ya Mighty Wanderes kuna tatizo lolote?

Ikumbukwe Mgunda ndio Mshambuliaji mzawa pekee ambaye yupo ndani ya Simba kwa sasa pamoja na Ibrahim Doumbia kutoka Mali!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI