Nathaniel Chilambo amempoteza mbaya Duchu
Nathaniel Chilambo ni bonge la mchezaji! Kadi nyekundu aliyopata Duchu imefungua nafasi kwa Chilambo kuonyesha uwezo wake, na mpaka sasa sijaona pengo upande wa namba 2.
Kwa kweli, moja ya vitu ambavyo Duchu anaweza kujutia ni ile kadi nyekundu, maana imempa nafasi Chilambo kuonyesha ubora wake.
