Kipre Jr arejea Azam FC

Azam Fc wamekamilisha usajili wa winga wa Ivory Coast,Kipre Zunon Jr kutoka MC alger

Kwenye mauziano hayo MC wameweka kipengele cha “Sell on” 30% kama Azam watamuuza Kipre basi 30% ya pesa itakwenda MC Alger.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI