Adolf Mtasigwa mbioni kutua Kaizer Chief
Kaizer Chiefs anakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa ulinzi Adolf Mtasingwa Bikego (27) kutoka Azam FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao!
Kaizer Chiefs wanamalizia baadhi ya vitu kadhaa vya kimaslahi baina yao na Matajiri wa Chamazi ili kukamilisha kila kitu na mchezaji kusaini mkataba wa Amakhosi.
