Yanga wanamrudisha tena Aziz Ki

Klabu ya Young Africans SC imetuma ofa rasmi ya USD 350K (Tshs Milioni 920) kwenda Al Ittihad SC ya Libya ili kupata saini na huduma ya kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki (30).

KI Aziz amekubali kuitumikia Young Africans SC kwa mara nyingine tena baada ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na Wydad AC na baadae kusajiliwa na Al Ittihad SC ya Libya na klabu ya Young Africans inapambania hili ili kupata saini yake kwa wakati.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI