Uwanja wa Yanga wafikia pazuri

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng Hersi Said ameweka bayana suala la ujenzi wa uwanja wa Yanga SC utakaojengwa Jangwani, umefikia pazuri.

"Kwenye ujenzi wa uwanja tumefika kwenye eneo zuri sana. Tunafanya mchakato wetu kwa umakini mkubwa na kwa usahihi.

"Tuliwatangaza GSM kuwa washindi wa tenda ya ujenzi wa uwanja. Tayari tumepata mchoro wa awali wa uwanja. 

Klabu imeshatoa maoni kuhusu mchoro huo. Jana tumekamilisha michoro yote na gharama za ujenzi”

Eng Hersi Said @caamil_88, Rais wa Klabu ya Yanga SC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons